We huoni yale matambala yaliochanika yamegeuka kuwa ya bei ghali kuliko tulivyofikiri.
Nanza kuiona FUBU, Rough Rider, ECCo, OPP, na Jah P'ple zikirudi kwa kasi
Usiwaige hao wanapigia picha tuu
Viatu bila soksi hunuka ni hatari.
Ila kama una pea nyingi sana pia, huwez gusa maji maji yyte inawezekana (japo ni ngumu kweli kweli)
We huoni yale matambala yaliochanika yamegeuka kuwa ya bei ghali kuliko tulivyofikiri.
Nanza kuiona FUBU, Rough Rider, ECCo, OPP, na Jah P'ple zikirudi kwa kasi
Wadada wengi kama sio wote isipokuwa wanafunzi wa sekondari ndio huwa nawaona wanapenda sana. Ila huwa najiuliza sana vipi joto ambalo hupelekea unyevunyevu huwa hawapati? Labda kuna kitu sijui namna wanavyoweza kuendana na hii hali na wakajisikia wako bila unyevunyevu miguuni.