Kuvamiwa kwa Mzee wa Upako, Askofu na Mchungaji mbaroni

Woote uliowataja hapo juu na kuna wengine wengi tu, kwa nionavyo mimi, hao sio watumishi wa Mungu ninaye mjua. Bali nadhani ni mungu wa ufalme wa giza (shetani).

Mtumie Roho Mtakatifu utatambua ukweli. Watu wengi hukosa maarifa na kuwaamini hawa matapeli wakubwa, na wanaokubalika na mamlaka za nchi hata huko Nigeria, Kenya, utapeli wao hauwapingwi na sheria za nchi.
 
Mtashindana na watumishi wa Mungu wa kweli; lakini HAMTASHINDAA !
Mungu akisema "YES" hakuna shetani wa kuzuia "NDIYO" !
 
wewe ni mfu, uliyekufa roho na mwili, unahitaji kufufuka. macho yako ni kipofu na wewe ni kipaza sauti cha shetani mwenyewe. Mungu akusaidie kwasababu shetani amevaa mwili wako, wala sio wewe.
 
wewe ni mfu, uliyekufa roho na mwili, unahitaji kufufuka. macho yako ni kipofu na wewe ni kipaza sauti cha shetani mwenyewe. Mungu akusaidie kwasababu shetani amevaa mwili wako, wala sio wewe.

Mimi nadhani wewe ndiye uliyekufa ufahamu ndio maana unamtafsiri hivyo huyu jamaa ambaye ana kila sababu za kutowaamini hawa watumishi wa "Roho Mtakavitu". Kama yote wanayofanya matapeli hawa unayaona sahihi basi jiandae kwenda mbinguni.
 
Simple way ya kumtambua mtumishi wa kweli wa Mungu......,
1/Asiweke mali mbele,aikatae dunia na thamani zake zote,afanye kazi ya Mungu kwa Manufaa ya wote

2/Awe na Hekima

3/Afundishe Biblia na Kufafanua neno la Mungu na sio kutoa maelezo ya malumbano na mashindano na wachungaji wenzake

4/Aishi kwa nguvu za Mungu na asiwe tayari kumiliki mimali mingi kwani sote tunafahamu ule mstari usemao Huwezi kutumikia mabwana wawili yaani Mungu na Mali.

5/Asitake kujiaminisha kwa watu/Asifanye miujiza yake kuwa ndio kitu pekee cha kumfanya watu wamwamini.. afanye kazi ya Mungu watu walioitwa na Mungu watamwelewa na kumfata.
 
Mimi nadhani wewe ndiye uliyekufa ufahamu ndio maana unamtafsiri hivyo huyu jamaa ambaye ana kila sababu za kutowaamini hawa watumishi wa "Roho Mtakavitu". Kama yote wanayofanya matapeli hawa unayaona sahihi basi jiandae kwenda mbinguni.
uyo mtumishi unayesema mtumishi ndio huyo karusha risasi kwa vijana majuzi hapa, na ndio huyo anayetukana madhabahuni, tunamsikia, tunafungulia chanel ten mara nyingi tunamwona...mtumishi gani alishawahi kutukana watu madhabahuni kuwa" PUMBAVU", SHENZI SANA", wanaosema mimi nitashindwa atakayeshindwa ni babu yako"...n.k, ni mtumishi mmoja tu ambaye jina lake unalijua. hakuna mwingine tangu nizaliwe niliwahi kusikia akitukana matusi kama hayo hadharani. hata waislam hawatunaki kama huyu baba. sijui labda ndio ufunuo wake sasa tusemeje. kama ni mtumishi wa Mungu atadumu, ila kama si mtumishi wa Mungu atakuja kuaibika siku moja hadi wewe hapo unayemtetea utakosa cha kuongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…