Mtu anapokua amevamia kiwanja chako na kujenga malalamiko yako unapeleka wapi, ofisi gani na kama ni barua ya malalamiko unaandika kwa nani? Ukiamua kuvunja kilichojengwa sheria inasemaje?
Mtu anapokua amevamia kiwanja chako na kujenga malalamiko yako unapeleka wapi, ofisi gani na kama ni barua ya malalamiko unaandika kwa nani? Ukiamua kuvunja kilichojengwa sheria inasemaje?
huyo mtu ni nani yako? je mnafananisha kabila?je kimepimwa? Nenda mahakama ya mwanzo wilaya unayoishi watakupa maelekezo ya kufanya. inaweza kuanzia kusikilizwa hapo au utaelekezwa kwenda BARAZA LA ARDHI LA WILAYA msipoelewana utaomba kukata rufaa mahakama kuu. Nijibu hayo maswali kabla ya lolote.kwuhitaji zaidi tuwasiliane