Kuvimba kichwa cha uume

reginahope

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
163
Reaction score
30
Napenda kuuliza mme wangu anatatizo la kuvimba kwa kichwa cha uboo ambalo hutokea tukimaliza kusex.

Halina mda mrefu tangu limuanze, mwenye kujua shida ni ninI karibu kwa mchango wako.
 
napenda kuuliza mme wng anatatizo la kuvimba kwa kichwa cha uboo ambalo hutokea tukimaliza kusex...halina mda mrefu tangu limuanze..mwenye kujua shida ni nin karibu kwa mchango wako

Inawezeka wewe una maambukizi. Nendeni mkapime wote STI maana zingine hazijulikani kirahisi.
 
anakuwa ajamalizi makojozi vizuri.......... jitahidi unapo maliza hakikisha unamkamua na vigina yako mpaka yaishe. ... alafu usimwache atoke hapo hapo ukamwagia maji aua akajiwekea maji jaribu kaa kidogo huku kitu kipo nadani kinatoka pole pole ,.... wengine mnaruka kama umekajaga moto pindi unapomaliza kukojoa na kwenda kumwagia maji..... mwili umetoka kwenye joto kali unaupeelka kwenye baridi lazima kivimbe tu....
 
Yaani inatakiwa mkuyati unapotoka ndani ya kibibi inabidi ile sauti ya "NFOOO...DOOO..." hapo ndo unakuwa umechuja kisawa sawa.
 
Hivi bongo kuna urologists?

khaaaa..................wewe ni mtanzania kweli??

ivi kama tuna nephrologist je tutakosa kuwa na urologis
sikaz wewe ni miongoni mwa mnaoamini wazungu can do every thing.

well kwa ushauri tu hebu tembelea KCMC urology clinic ukajionee mwenyewe.
 
Uko vizuri...! Utadhani siyo mchaga penda wewe mimi..
 
Napenda kuuliza mme wangu anatatizo la kuvimba kwa kichwa cha uboo ambalo hutokea tukimaliza kusex.

Halina mda mrefu tangu limuanze, mwenye kujua shida ni ninI karibu kwa mchango wako.

Weka picha tuone jinsi ya kukusaidia
 
Napenda kuuliza mme wangu anatatizo la kuvimba kwa kichwa cha uboo ambalo hutokea tukimaliza kusex.

Halina mda mrefu tangu limuanze, mwenye kujua shida ni ninI karibu kwa mchango wako.
Inavimbia sehemu gani,huku karibu na mdomo,upande wa kisogoni au kwenye kidevu chake!
 
Napenda kuuliza mme wangu anatatizo la kuvimba kwa kichwa cha uboo ambalo hutokea tukimaliza kusex.

Halina mda mrefu tangu limuanze, mwenye kujua shida ni ninI karibu kwa mchango wako.

Maswali ya msingi. All these displayed questions below are sorely tentative / hypotheses", not generalisation of the fact.
1.Je mnyamwezi huwa anavarisha "ring" kwenye Bunduki ...??? Coz isije kuwa jamaa ana 'over size' a.k.a "YA UKOO" sasa inamuumiza anapokuwa kaivaa alafu kitu kikaenda angola/winga
2.Je huwa anavaa ndomu anapokuwa anakula kichwa...??? if yes, je huwa anivalisha vema ili isije mbana mashine wakati wa kupakua mzigo.
3.Je huwa mna kwanguana wakati wewe "kitumbua" kinapokuwa kimeenda kuungana na kina Neil Armstrong a.k.a kiko kwenye MVUJO (MWEZIN.I).?
4.Je mdau huwa anapewa huduma ya kuzibua mtaro (kula TIGO)a.k.a. kupakua udambwi dambwi wakati mnapojivinjari.
5.Je huwa mnafanya maandalizi vema mpaka urojo rojo utoke kabla hamja pekechuana> kunako uvinzani ???
Ukinijibu hayamaswali ...nitakupa mwongozi ni nini cha kufanya ili jamaa paipu ipate utulivu wa headache.

Kwa hisani ya kina "NGOSHA"
 
khaaaa..................wewe ni mtanzania kweli??

ivi kama tuna nephrologist je tutakosa kuwa na urologis
sikaz wewe ni miongoni mwa mnaoamini wazungu can do every thing.

well kwa ushauri tu hebu tembelea KCMC urology clinic ukajionee mwenyewe.

haya bidada, ila ungejibu "ndiyo" ingetosha sana.
 
Napenda kuuliza mme wangu anatatizo la kuvimba kwa kichwa cha uboo ambalo hutokea tukimaliza kusex.

Halina mda mrefu tangu limuanze, mwenye kujua shida ni ninI karibu kwa mchango wako.

Labda ukimnyonya kichwa huwa unajisahau mpaka una mng'ata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…