Kuvimba kwa korondani moja na matibabu yake

Joined
Jul 24, 2014
Posts
28
Reaction score
7
Wakuu tunapenda kujua madakitari wa Wanaume wa kutibu magonjwa kama hayo, Kuna Ndugu yangu anasumbulia na hilo tatizo naombeni masaada wakuu humu ndani
 
sema ni ww unaomba ushauri,,
 
Imevimba au moja kubwa zaidi ya nyingine?
 
pole sana mkuu itakuwa huyo mtu ana bacteria infection or viral infection hivyo unapaswa kupima au kutumia dawa ambazo ni anti bacteria pia anti viral
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…