Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Nina tatizola kuvimba tezi za mate, submandibular gland kwa miaka mingi. Mwanzoni daktari alihisi ni sababu ya stones kwamba zinajijenga kwenye tezi na kuzuia mate kutoka. CT-scan ikatumika na majibu yakaonyesha hakuna tatizo kama hilo.
Binafsi nikapewa assignment ya kujichunguza sababu ni nini au isije ikawa ni tatizo la allergy. Ninachokiona ktk maisha yangu siyo stones bali ni mate mazito kuliko kawaida ambayo yanajitokeza na kuziba mirija ya mate. yakifanikiwa kupita, mara moja mate pia hupita na na uvimbe unapotea.
Naomba kufahamu sababu ni nini na matibabu yake ni yapi?