Mwanangu amepatwa na tatizo kama hilo, lakini baada ya kumpatia dawa tajwa hapo juu alipumzika kama saa moja hivi akaanza kutapika, Je tatizo litakuwa ni nini?Naombeni nisaidieni, mtoto wangu alivimba shavu la kushoto last week, uvimbe huo huanzia kwenye sikikio kushuka chini. nikampeleka hospital na akapewa ampiclox akapona, leo asubuhi kaamka kavimba upande mwingine na hata kula hawezi, je huo ni ugonjwa gani? unasababishwa na nini? na nini tiba yake? nimeambiwa shuleni kwao watoto sita wamepata hilo tatizo. tafadhali nisaidieni.
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani shavu langu la kushoto linanepeana tu, utadhani nimeficha kitu Shavuni. Nini shida na Tiba.