Kuvimba mdomo

Kuvimba mdomo

odg

Senior Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
190
Reaction score
28
Habari wana-jf

Inakuwaje unaamka asubuhi na unakuta mdomo umevimba?

Dawa yake ni nini?

Ahsante.
 
Habari wana-jf

Inakuwaje unaamka asubuhi na unakuta mdomo umevimba?

Dawa yake ni nini?

Ahsante.
Inaweza kuwa minyoo, nenda hospitali ukapime.
 
minyoo hiyo nenda hospital ukapime...au kama unaona noma kutoa 'nya' yako kwenye kiberiti nenda pharmacy kajieleze watakupa dawa.
 
Back
Top Bottom