Natumain waungwana mpo poa, jamani embu nipeni ufumbuzi wa hili tatizo nini? Wife ana mimba ya miezi 6sasa, cha kushangaza amekuwa ana vimba sehemu zake za siri, cyo kila cku imekuwa inatokea mara moja moja tuu.
eh jamani wenye utaalam mtasaidia, lakini binadamu kwa timbwili huwa nawakubali.
ivi sehemu za siri zinavimbaje km si kuzifanyia kamchezo fulani kasohalali,
wewe unamgegeda mkeo sana wakat ana ujauzito.
uache kamchezo ako kwa mjamzito