K kinyama nje JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 1,839 Reaction score 2,475 Jul 15, 2018 #1 Ningependa kujuzwa tatizo hili lasababishwa na nini? Kuna mtoto hapa mud huu kavimba taya. Natanguliza shukrani
Ningependa kujuzwa tatizo hili lasababishwa na nini? Kuna mtoto hapa mud huu kavimba taya. Natanguliza shukrani
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 Jul 15, 2018 #2 Wahi nenda hospitali wakati unatafuta majibu online. Haujaweka picha, hauelezei uvimbe wa aina gani na umeanza lini kisha unategemea upate majibu sahihi?
Wahi nenda hospitali wakati unatafuta majibu online. Haujaweka picha, hauelezei uvimbe wa aina gani na umeanza lini kisha unategemea upate majibu sahihi?