Salaam wanaJF!
Tezi la karibu na kinena (juu ya paja karibu na kinena) limevimba na linanisababishia homa.
Kwa experience ni kwamba, tezi (la kwenye kinena) huvimba iwapo tu kuna kidonda au jeraha mguuni n.k.
Lakini hapa leo sina kidonda wala jeraha lolote lakini tezi limevimba na linaniletea maumivu makali na homa.
Je, hali hii husababishwa na nini? Ni ugonjwa?
Ushauri jamani.