kuvimba uke

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
253
Reaction score
52
habari wana jf doctor,mm nina tatizo kila nikifanya mapenz na mpnz wangu navimba uke kiasi kwamba siwezi kurudia raundi ya pili,na hata nikirudia anapokua anasugua nakua nimelowa sana tu,ila akimaliza tuu akichomoa nimevimba,na kuna uma kweli yaani,hili ni tatizo gani?
 
pole sana jaribu kwenda kwa doctor may be una uvimbe,,
 
Za kuvimba nazipenda sana....:focus:..pole sana na nakushauri uonane na wataalamu wa mambo hayo
 
Pole sana,
Ni vema ukamuona Daktari.
Ungetupia na kapicha tuone huo uvimbe (Joking)
 
Ebu Tujibu maswali haya?
1.Je Muhogo wa jang'ombe wa mzee vp ni mkubwa kwako?
2.Je Inatokea with raw(dry) au hata mkivaa kondomu?
3.Anapokupelekea moto unahsi maumivu au utamu?
 
check out hiyo aina ya condom mnazotumia. you could be allergic to it dada.
 
Ebu Tujibu maswali haya?
1.Je Muhogo wa jang'ombe wa mzee vp ni mkubwa kwako?
2.Je Inatokea with raw(dry) au hata mkivaa kondomu?
3.Anapokupelekea moto unahsi maumivu au utamu?

mi nauona ni wakawaida n 2na 3 yrs kwa relation lakini hatukutani mara kwa mara yaeza pita hata miez mitano,pia hatutumii condom its dry,anaponipeka moto napata utamu,ujue hata anapoanza 2 kuingiza napata maumivu thouugh nakua nimeloa,yan navimba sana
 

Maybe kuna reaction na huyo mtu,je ushawahi fanya na mwingine b4? je hyo hali inatokea hata ukifanya na mtu mwingine? Nenda Hospital kwa mtaalamu wakinamama atakusaidia
 
Kapate maombi si ajabu ni jini mahaba ama unamwibia mwenzako aliyeweka tego, watchout!!! maana hata kwa aliyekeketwa sio hivi!:hatari:
 

pole me nadhan ni kawaida cs sehem zako hazijazoea,na mnapokaa muda mrefu sehem hiyo hurud kuwa ndogo tena,na hakika mkifanya kwa mara nying hiyo hali itapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…