kuvimba uke

Pole sana.Ungeweka picha ya ilivyovimba madaktari wangeelewa zaidi ila pia angalia isijekuwa mpenzi wako mhogo wake ni kama wale nyoka aliopost Boflo kipindi fulani. Wanakuwaga na sumu!
 
Duh! Jamii Doctor ina madaktari wenye utaalamu wa hali ya juu. Lol!
 
Dah bado nakuonea huruma!Pole. Isijekuwa uke wako ni wa vampire! muhogo wa jamaa yako utajaliwa one day ohoo, chezea vampire wewe!
 
jaman am serious nyie mnaniletea utani,kukivimba tena ntapiga pic niweke kwa nyie mnaotaka haahahhaha,asante kwa ushur kwa nyie mlionishauri
 
Huenda una njia ndogo...au jamaa huwa anatumia muda mrefu sana kumaliza? mnapoanza unaweza kuwa umelowa...(kama unavyosema) ila kama mnafanya kwa muda mrefu yale majimaji hukauka....na hapo ndio penye tatizo!!
 
hilo kweli ni tatzo..kwa kawaida uke hautakiwi kuvimba hata udungwe mara mia mbili labda michubuko tu kwa ndani
 
Picha tuu, ili tumshauri kwa kuona mkuu!! hata hivyoa akienda kwa daktari bado atamwonyesha na pengine daktari atashika tuu ili aambiwe tatizo nini.

haahahhah kweli wewe una utani na mimi
 
itakuwa hakulainishi vya kutosha, na unaata utamu wa kawaida ila hufiki mawenzi.

Hutokea kwa baadhi, hasa unapokuwa unajifunza mapenzi bado hujakomaa.

Jaribu kuugundua zaidi mwili wako itakusaidia.

Maumivu yakizidi, mwone daktari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…