Kuvimba ukeni

Kuvimba ukeni

Jogoo10

Senior Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
100
Reaction score
11
Natanguliza heshima kwenu,
Nawaombeni tumsaidieni huyu dada, tatizo lake anapofanya sex hujisikia raha inapochukua mda kidogo hupata maumivu makali sana, ili hali uke unakuwa umetota namanisha sio mkavu. Sasa kitu kinachotisha uume ukicho molewa uke unakuwa umevimba sana sana na kuuma sana, baada ya masaa manne hivi hali hurudi kama kawaida, uvimbe wote unanyewa na maumivu hupotea kabisa. Pia anasema bwanake uume wake ni mfupi na mwembamba unafikia inch 4 ukisisimama. Sasa tatizo ninini karibuni watalaam naomba kuwasilisha.
 
Kwa mimi jinsi ninavyopenda vilivyovimba!! Hapa sina ushauri nukta
 
mbona mnakuwa na matani na mizaha, panapo ukweli acheni masihara huyu dada anaomba msaada.
 
mbona mnakuwa na matani na mizaha, panapo ukweli acheni masihara huyu dada anaomba msaada.

Anhaa kumbe ni hivyooo!?? Ok hivi kwa mfano wewe ukajigonga sehemu ya kichwa likatoka nundu utaenda MNH? Huyo inatakiwa apigwe mashine na puto lake hivyo hivyo hadi azoee hali halisi mbona kisivimbe chenyewe hadi kikutane IS ndo kilete kisirani?
 
haa!haa!haaa!!! jiwe ilo mkuu.
 
si useme ni wewe utasaidiwa kuliko kuficha aende kuonana na specialist wa magonjwa ya huko chini muache zinaa
 
Back
Top Bottom