Natanguliza heshima kwenu,
Nawaombeni tumsaidieni huyu dada, tatizo lake anapofanya sex hujisikia raha inapochukua mda kidogo hupata maumivu makali sana, ili hali uke unakuwa umetota namanisha sio mkavu. Sasa kitu kinachotisha uume ukicho molewa uke unakuwa umevimba sana sana na kuuma sana, baada ya masaa manne hivi hali hurudi kama kawaida, uvimbe wote unanyewa na maumivu hupotea kabisa. Pia anasema bwanake uume wake ni mfupi na mwembamba unafikia inch 4 ukisisimama. Sasa tatizo ninini karibuni watalaam naomba kuwasilisha.