Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Wakina mama na wakina Dada wameanzisha mipango mipya ya kuvimbisha maziwa ,wengine wakiyapiga sindano yawe magumu, imefikia hata wenye haki yaani watoto wao unyimwa na kupewa chupa huku wakiwalaghai wamesema eti maziwa hayatoki. Tabia hii imeshika kasi mpaka wanawapa tabu mafundi nguo , wakishona bila kuweka mbeleko ya kuyabeba.
Wasichana wamefikia.hatua ya kujikaba kifua huku wakieemea juu juu kisa yatune. wengine masikini yashakuwa sokis lakini ngozi hiyo itakabwa wee mpaka itune.
Je kuyakaba na kuyatunisha ni ulembo au mitego? Ninawaombeni munijibu bila ya kuleta Malumbano ya matusi ndugu zanguni asanteni.
Je kuyakaba na kuyatunisha ni ulembo au mitego? Ninawaombeni munijibu bila ya kuleta Malumbano ya matusi ndugu zanguni asanteni.