Hapo inategemea ila kuna mambo kama 2 ivi la kwanza fundi hakugonga mbao za purlin kwenye hip zile za kulala kushuka chin kulia na kushoto akaweka tu kati 1 au hajaweka kabisa kwa hiyo kofia hazijabana vizuri
2.huenda kagonga kofia nyembamba sana na kama hajagonga hip purlin hapo kazi ipo