Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,523 Reaction score 30,084 May 24, 2025 #1 Kama kunamtu atanilaumu kwa kuvujisha nyaraka za wahujumu basi na iwe kwani na yeye huenda ni sehemu ya wahujumu. Katika nchi makini mtu anayefichua hujuma husifiwa na kuzawadiwa badala ya kusakwa ili aadhibiwe.
Kama kunamtu atanilaumu kwa kuvujisha nyaraka za wahujumu basi na iwe kwani na yeye huenda ni sehemu ya wahujumu. Katika nchi makini mtu anayefichua hujuma husifiwa na kuzawadiwa badala ya kusakwa ili aadhibiwe.
S SAIDWE JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,589 Reaction score 1,901 May 24, 2025 #2 UKO SW KWA 100%
J Jakamageta JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 491 Reaction score 953 May 24, 2025 #3 Nakupongeza kwa kuwa mzalendo kwa kukataa ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi za umma, we must Expose and know them
Nakupongeza kwa kuwa mzalendo kwa kukataa ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi za umma, we must Expose and know them