Mwanaume akimfungulia mwanamke mashitaka ujue mwanamke amemkacha tayari hapo hamna tena kuoana mwanamke si ameamua kumuacha mwanaume na ku move on, hapo ndio huwa anaenda mahakamani
Msikubaliane kuoana semeni kuwa tukae tu ikitokea itakuwa automatic sawa. kwanini unasema hamna waowaji siku hizi ni waongo auNdiyo nasema sasa huyo mwanamke asingepate mwingine huyo mwanaume angemuoa? Waoaji wenyewe wako wapi siku hizi?
Atanipeleka kivipi? Yaani mfano mimi mwanaume kanitongoza siwezi kumwambia anioe ninachofanya nitamkataa hadi yeye mwenyewe ndiyo aniambie kuwa atanioa hivyo hiyo kauli inakuwa imetoka kwake!Naye mwanaume ni mjanja ukimkataa kama hana ushahidi wa ahadi yenu eitha kwa maandishi ambayo wengi hawafanyi kama commitment kwa mwenza, au ya watu waliwaona wakiwa pamoja kwa muda mrefu na waliambiwa na wahusika kuwa sisi ni wachumba basi ujue hapo atakupeleka tu mahakamani.
Mliowasomesha kina dada na badae waliwaacha bado mnaweza mkashindwa kesi kwa sababu mdada hamfahamiani, hakuna sehem yoyote mliandikishiana kuwa nitakusomesha badae uwe mkewangu yangu commitment na kama hakuna waliokuwa mashahidi kuwa ni wachumba na unamsome
Msikubaliane kuoana semeni kuwa tukae tu ikitokea itakuwa automatic sawa. kwanini unasema hamna waowaji siku hizi ni waongo au
Kwani hakuna wanaowapa masharti wanaume kuwa kama atakubali kumuoa ndio atakuwa naye kimapenzi, kwako sawa wewe ni mjanja huwezi sema ila wengine wanauhitaji wa kuolewa wanawaambia tuoane kwanzaAtanipeleka kivipi? Yaani mfano mimi mwanaume kanitongoza siwezi kumwambia anioe ninachofanya nitamkataa hadi yeye mwenyewe ndiyo aniambie kuwa atanioa hivyo hiyo kauli inakuwa imetoka kwake!
Kwahiyo mwisho wa siku asiponioa mimi ndiyo naenda kumfungulia mashitaka sasa asiposema atanioa si namkatalia tu kwahiyo achague moja aseme atanioa au aniache ila mimi kama mimi simwambii anioe
Hata hyuyo mwanaume naye ni Malaya tafsiri ni ile ile tu. wanawake wana uhitaji sana wa kuolewa ila wanachagua wenye uwezo mkubwa hawataki kuanzia from the ground ila akimpata mwenye uwezo wa kifedha anaweza akamwambia amuoe hata ww ukiwemo sidhani kama utaweza kuficha hisia zako maana usiposema wengine watakuwahi huko anakozungukia mwanaume au sioKwani haujui kuwa bongo wanawake wengi wanataka kuolewa ila wanaume wengi hawataki kuoa? Sasa mwanamke akiwa na wanaume tu bila malengo ya kuolewa mwisho wa siku atatembea na wangapi na wabongo tulivyo na mitazamo ya ajabu eti mwanamke akitembea na wanaume wengi ni malaya ila mwanaume akitembea na wanawake wengi ni kidume?
Sasa hao ndiyo itakuwa imekula kwaoKwani hakuna wanaowapa masharti wanaume kuwa kama atakubali kumuoa ndio atakuwa naye kimapenzi, kwako sawa wewe ni mjanja huwezi sema ila wengine wanauhitaji wa kuolewa wanawaambia tuoane kwanza
Sky Eclat unamaanisha wao kujiachia sana ndio kunapelekea wao kutoolewa au wanaume kutochukua maamuzi ya haraka kuwaoa etiUchumba wenu vijana wa sasa mnakulana kila kitu, mpaka mwanaume haoni sababu ya kutoa posa na kufunga ndoa wakati unamfulia, unampikia, unamaana tendo la ndoa. Anajua unavyokoroma. Sasa excitement iko wapi tena ya kufunga ndoa.
ebu tupe trick moja ambayo ukinogewa sana na mwanaume unaweza ukafikia uamuzi wa kumwambia akuoe toa mfani endapo itakuwaje ndio unaweza ukamwambia.Sasa hao ndiyo itakuwa imekula kwao
Comon Sky Eclat naomba ukae ulaya au marekani kwa mwaka au miaka utajifunza kitu, people are not too holy hawana zinaa ngono ni kitu cha kawaida sana kama chakula wala sio cha kupanga wala kufikiria sana, western culture huku kwetu ipo tu na tumeiga sana, utaona tunaita zinaa ila mengine hatuiti dhambi mfano: Kusema uongo, kumshuhudia jirani yako uongo, kuiba cha mtu ili utumie bila ridhaa yake badae urudishe, kumchukia mwenzio, kuwa na grudges na mtu mwingine... sisi huangalia tu ngono kuwa ni zinaa mengine tunafumbia macho hatuyasemi, basi ni makubaliano tu kuwa mtaona na iwe hivyo natumai haitakuwa dhambi tena sioKabisa kama amekupenda akuoe kwanza, hakuna dini inayokubali zinaa. Haya mambo ya come and we stay tumeyaanzisha lini?
Hata hyuyo mwanaume naye ni Malaya tafsiri ni ile ile tu. wanawake wana uhitaji sana wa kuolewa ila wanachagua wenye uwezo mkubwa hawataki kuanzia from the ground ila akimpata mwenye uwezo wa kifedha anaweza akamwambia amuoe hata ww ukiwemo sidhani kama utaweza kuficha hisia zako maana usiposema wengine watakuwahi huko anakozungukia mwanaume au sio
Sema kutoka moyoni kwa hiyo ukimpata ambaye atakupa mapenzi ya dhati na atakuwa mwaminifu basi uko tayari kumtamkia akuoe sioKwangu mimi pesa na mali siyo kipaumbele kwenye ndoa bali mapenzi ya dhati na uaminifu mimi ninaweza kuwa na mwanaume yeyote yule kasoro mwanaume shoga na mwanaume mvivu
Wanataka sana kuoa isipokuwa wanawake tu ndio wanasema wanachungulia mfuko kama hauko sawa wanasepa nimekusanya maoni mengi sanaWanaume wa siku hizi hawataki kuoa
Two wrongs doesn’t make it right, kama umempenda kwanini usimuoe?Comon Sky Eclat naomba ukae ulaya au marekani kwa mwaka au miaka utajifunza kitu, people are not too holy hawana zinaa ngono ni kitu cha kawaida sana kama chakula wala sio cha kupanga wala kufikiria sana, western culture huku kwetu ipo tu na tumeiga sana, utaona tunaita zinaa ila mengine hatuiti dhambi mfano: Kusema uongo, kumshuhudia jirani yako uongo, kuiba cha mtu ili utumie bila ridhaa yake badae urudishe, kumchukia mwenzio, kuwa na grudges na mtu mwingine... sisi huangalia tu ngono kuwa ni zinaa mengine tunafumbia macho hatuyasemi, basi ni makubaliano tu kuwa mtaona na iwe hivyo natumai haitakuwa dhambi tena sio
Haya kumuoa nani ataanza kumwambia mwenzie kumbuka wote wanataka kuolewaTwo wrongs doesn’t make it right, kama umempenda kwanini usimuoe?
ebu tupe trick moja ambayo ukinogewa sana na mwanaume unaweza ukafikia uamuzi wa kumwambia akuoe toa mfani endapo itakuwaje ndio unaweza ukamwambia.