Mtumishi kazi
Member
- Jun 1, 2013
- 25
- 3
habari za saa hizi wana jamvi hili.kwanza nawashukuru kwa michango mnayotoa humu ktk kufungua ufahamu wa wasomaji.
mie leo naomba kuuliza hivi:iwapo mahakama itathibitisha pasi na shaka(katika shauri la kudai talaka kwa mmoja wa wanandoa) kuwa, maumbile ya sehemu za siri yanatofautiana sana na hata kusababisha adha kati ya wanandoa hao,je mahakama yaweza kuivunja?