Kuvunja Ungo

Yes hawataki kusikia hizo habari kabisa za maandamano wameniambia
Aisee,
Ni bora watupe taarifa public ili tujue kuwa ni maarufuku juu ya habari hizo humu.

Mimi nilikuwa sijui hadi sasa, na jukwaa la siasa huwa naenda sana na kuchangia mada kama hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…