Kuvunjika kwa uchumba

Dada kubadili gia angani speaks more of this guy than the girl herself!

Kua dumped is more of the weaknesses and stupidity ya alieachwa more than anaeacha....
Kuachwa ni fedheha sana,
Yawezekana mwamba pia kuna sehemu alikosea[emoji1745].

BTW uchumba siyo ndoa,lolote laweza kutokea.
 
jaribu kumtuliza mchumba wako ili ujue tatizo.

kuoa ni swala la kumshawishi mwanamke akubali kufwatana na wewe.

kuna familia hazipendi kuona mwanamke anaenda kuishi maisha yake rasmi, bila mwanamke kujua yeye mwenyewe anataka nini ni shida pia.

ila bembeleza kujua tatizo.
 
Pole Mkuu kapata mhuni anayesimamia kucha. Atampelekea moto wa kutosha kisha atasepa hapo ndiyo atakaporudi kwako kuomba radhi ili mrudiane.
 
Inawezekana hajakosea hata kitu kaka wa watu. Issue ya kufunga ndio sio kila mtu hufurahia. Hapo mdada baadae anaweza shangaa kwanini alifanya hilo tukio na ikawa tayari ni too late
Ila haya mambo[emoji1745].


Mimi nilishashuhudia couple moja ilitikisa sana kanisani..yaani ilikuwa couple ya mfano.
Dada mstaarabu,kaka mstaarabu mno,yaani gentleman sana yule jamaa.

Kaka alikuwa anafanya kila kitu kwa yule dada aisee,halafu dada alipopata maisha akaja kumuacha..
Alisema hana sababu maalum ya kumuacha ila ameona tu amepata mtu mwingine ambaye anampa furaha zaidi ya ile anayopata kwa huyo kaka.,na anasema wazi huyo kijana wa Sasa Wala hana uwezo sana kifedha kama Yule wa mwanzo..ila ndio anaona roho yake ina amani.
Akaamua kuzaa na huyo mwingine.

Kila mtu alibaki anasikitika na hata kujudge ilikuwa ngumu.
 
Mkuu unazidi kupigilia misumari[emoji23].

Siku hii hali ikikukuta unaweza jikuta unalia zaidi ya mwamba hapa.
 
Ila haya mambo[emoji1745].


Mimi nilishashuhudia couple moja ilitikisa sana kanisani..yaani ilikuwa couple ya mfano...
Tamaa mbele mauti nyuma. Ukishajua maisha hayana formula na aliyeko juu leo hujui kesho yuko wapi huwez fikia uamuzi huo tena kwa mtu mliyependana mpaka kufikia ndoa. Watu wengine hupenda vilivyoiva ila hatua za kuivisha hataki. Unabaki kutanga na dunia.
 
Kaka aliwahi kumaliza shule miaka miwili mbele kabla ya dada.

Kipindi chote yupo shule alikuwa anapata support ya kaka,kuna muda nyumbani kuliyumba lakini kaka alipigana..
Alikuwa na roho nzuri mno.

Dada livyomaliza tu shule akapata kazi ..ndio hayo yakatokea.

Anasema huyo kaka aliyemuacha alimkuta kipindi ametoka kwenye break-up,kwahiyo alimkubali ili kupunguza maumivu,kwa Sasa amepata sehemu anayopata amani zaidi ..
Imagine 3yrs mtu anakuja kuzaa na mtu mwingine[emoji16].

Sometimes wanawake tunatumia hisia zaidi kuliko akili.

Lakini[emoji1745]kila mtu ana maamuzi yake.

Watu walitafuta kujua sababu,kwanini couple ile haijaishia kwenye ndoa,
Kumuuliza dada kuwa labda kijana alikukosea,anasema hapana,hajawahi nikosea chochote.
 
Dada zetu wamejaaliwa roho ngumu sana.

Usisikitike sana mkuu; mshukuru Mungu huenda amekuepusha na mengi huko mbele.
 
Ila we jamaa [emoji1787]
witnessj njoo umuone kaka yako.
 
safi

huyo dada yuko sahihi...
Halafu baadae ndio nyie nyie mnaosema wanawake wanapenda hela kuliko mapenzi. Maana kwa nlivyoelewa hapo kaka alitoa kwa nia njema kwa kumjali mpenzi wake na dada akachukulia ni opportunity ya kumfilisi kaka wa watu.

Ni tabia mbaya kama humpendi mtu bora umwambie kuliko kumtumia halafu unamtema kama bigG
 
Safi sana

Huyo dada yuko sahihi

mengine ni emotions tu...
Angemkataa tangu mwanzo basi kuliko wanakaribia ndoa ndio anaanza kusema ana mtu mwingine.

Muda waliopoteza pamoja ni mwingi mno na kaka alikuwa anaangalia hapo hapo tu,anaanza tena kuanza upya.

[emoji1745]Kila mtu na maamuzi yake.

Kikubwa dada ana amani zaidi huko alipo na amuombe Mungu jamaa mpya asibadilike.
 
Kaka alitoa kwa nia ya kumsaidia tu na si kwamba dada alikuwa na njaa kihivyo.

Ilifika kipindi dada alipoteza mzazi wake aliyebakia na maisha yakayumba,ila kaka alifanya kumsaidia kibinadamu kabisa.
Hii alifanya kwa watu wote wenye uhitaji,si kwa dada tu eti kwa sababu ni mpenzi wake.

Kwakweli hii stori ilinihuzunisha,sikutegemea kama ingeishia hivi.
 
Imagine mtu amekaa naye 3yrs[emoji26]
Na alivyokuwa na tabia njema yule kaka ,hakuwa na makandokando kabisa ya pembeni.

Nyie roho ya huruma iliniingia,nilijaribu kuvaa viatu vyake.
Japo naheshimu pia hisia za dada.
 
Mjanja kapendwa
 
Yeye anadai alimkubalia kwa sababu alikuwa na maumivu ya mapenzi wakati huo,alikuwa ametoka kubreak up na mtu.

Kipindi wanaanza wote walikuwa na hali nzuri tu kifedha,
Baadaye dada aliyumba kidogo ndio kaka akawa anamsaidia..
Kumhudumia kama mpenzi alifanya wakati wote(dada alipokuwa na shida na hata alipokuwa vizuri)

Kaka hakulalamika hukusu hela zake ..walalamikaji ni mashabiki[emoji23]washuhudiaji wa yaliyotokea
 
Dunia ina mengi

Hatuwezi kumhukumu sana huyo dada

Ndo maana huwa tunashauriwa kusali sana kipindi chote cha maandalizi mpaka ndoa itakapofungwa.

Inaweza kuwa ni akili yake huyo dada au pengine walimwengu wameingilia kati

You never know

Mshukuru Mungu kwa kila kitu,samehe,kung'uta mavumbi maisha lazima yaendelee

Pesa zinatafutwa kama wanazingua kurudisha mahali achana nao waachie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…