Kuvunjiwa vioo vya magari na kuibiwa Laptops

mkuu pole sana!nenda hapo posta mitaa ya bilicanas,kuna jamaa wanakaaga pale!wape issue,waahid donge nono,utapata vitu vyako!mm nshawah kuibiwa laptop,nikatangaza laki 2,jion yake nikaletewa laptop yangu!
 
nenda pale salender police muone oc cid ni muelwa sana,umwambie nia yako,utavipata vitu vyako,cha maana tu uwe tayari kuvinunua hivyo vitu vyako na kumtoa huyo mkuu,kuna jamaa yangu mmoja alipigwa kwa stairi hiyo upanga fire alipata vitu vyake,anawajua wezi wote wa mapigo hayo!
 
Pole sana mkuu. Vipi vioo ni tinted au la? Kama ni tinted hao wezi watakuwa wanakufahamu fika na itakuwa vigumu kuvipata. Next time usiache vitu vya thamani kwenye gari hasa hasa usiku bila ulinzi kumbuka pia kuna funguo bandia.
 
Pole sana mkuu! Nakushauri information nyeti uwe unazihifadhi mawinguni (cloud storage). Ni salama na ni bure! Unaweza kuzi.accsess toka popote duniani. Niliwahi kupigwa pigo hilo na external ya 500Mibs! Toka siku hiyo nikahamia mawinguni!
 
Vioo havikuwa Tinted ila sasa ndio nimeweka tinted nyuma kote
Pole sana mkuu. Vipi vioo ni tinted au la? Kama ni tinted hao wezi watakuwa wanakufahamu fika na itakuwa vigumu kuvipata. Next time usiache vitu vya thamani kwenye gari hasa hasa usiku bila ulinzi kumbuka pia kuna funguo bandia.
 
Pole sana mkuu! Nakushauri information nyeti uwe unazihifadhi mawinguni (cloud storage). Ni salama na ni bure! Unaweza kuzi.accsess toka popote duniani. Niliwahi kupigwa pigo hilo na external ya 500Mibs! Toka siku hiyo nikahamia mawinguni!
Ok thanks for advice Mawinguni naweza kupata storage ya 80 GB?How?
 
mkuu pole sana!nenda hapo posta mitaa ya bilicanas,kuna jamaa wanakaaga pale!wape issue,waahid donge nono,utapata vitu vyako!mm nshawah kuibiwa laptop,nikatangaza laki 2,jion yake nikaletewa laptop yangu!

Kaka bilicanas kwa wapi?au ndani kabisa au kwa wauza mitumba?
 
Kaka bilicanas kwa wapi?au ndani kabisa au kwa wauza mitumba?

Mkuu umefika pale Azam? Nenda pale mtafute jamaa mmoja ngoja niku Pm jina atakusaidia wewe ungea nae vizuri ndio wananua vitu vya wizi.
 
Pole sana mkuu! Nakushauri information nyeti uwe unazihifadhi mawinguni (cloud storage). Ni salama na ni bure! Unaweza kuzi.accsess toka popote duniani. Niliwahi kupigwa pigo hilo na external ya 500Mibs! Toka siku hiyo nikahamia mawinguni!

Mkuu kironde hebu nisaidie hiyo Cloud storage ni kitu gani na kinapatikanaje? Huko mawinguni please, maana hard drive ilikufa nikapata tabu sana na sikuwa na external HDD? Sasa ninayo but nahitahi pia hiyo clouds.
 
He Mkuu huko mawinguni ndio wapi tena?
 
Mkuu kironde hebu nisaidie hiyo Cloud storage ni kitu gani na kinapatikanaje? Huko mawinguni please, maana hard drive ilikufa nikapata tabu sana na sikuwa na external HDD? Sasa ninayo but nahitahi pia hiyo clouds.

click hapa Cloud Storage From Just Cloud. Free Online Storage

kama unaona kazi sana kutumia hii jiuinge na dropbox..siku hizi kutembea na external HDD hakupo........
 
Pole sana, huwa ninawashauri watu sana kuwa "backup" za kuweka kwenye external HD ni kujidanganya kwa kiasi kikubwa hasa kama unatembea nayo, pia zinakufa at any moment.

At least uwe unachoma kwenye DVD mara kwa mara na kuzitunza sehemu lakini bora zaidi ni kutumia hizi online backup/sync services.

Dropbox 2GB free, zaidi unalipa.

Google Drive 5GB free, zaidi unalipa.

Microsoft SkyDrive 7GB free.

iDrive ambayo ndo natumia mimi nadhani 2 free zaidi unalipa, naipenda hii maana inafocus kwenye backup zaidi za sio kwenye sync.

Hizi za free zinaweza kukutosha ukizingatia ni vitu gani kweli ni muhimu kuviback up, hakuna haja ya kubackup movies au program files ulizodownload somewhere, backup documents, pictures etc hizi mara nyingi size yake ni manageable.
 
Pole sana Mkuu, hao watu inabidi u-deal kwa akili. Kwa wakigundua kuwa unatumia nguvu vitu hutavipata, maana wataviuza haraka sana au kuvivunja mbele ya macho yako, then wanaingia mtaani !!!! Kuwa Mpole, tangaza dau. Halafu uskubali kumpa tu pesa kabla hajakuonyesha mzigo hata mmoja, wana tabia ya kukuletea kifaa kimoja miongoni mwa vilivyoibiwa. Otherwise, matapeli wengine wanaweza capitalize on your issue. Nilishawahi ibiwa taa za gari maeneo hayo, nilikuwa Mpole na kwenda kuzinunua hizo hizo kwa 1/3 ya bei yake pale Mnadani K/Koo.
 
hii ni organized crime-na polisi wapo wanashidwa kudeal nao-maana kama mtu anaiba then unaweza kumpata na kuzungumza naye na ukampa 'ransom'-sioni umuhimu wa polisi hapa
 
kakak kuana mtaalam yupo maeneo.,mbna v2 vyko vyote unavpata..,inasomwa kitabu npale after 1 week wanakuletea wenyewe kiroho safi..ukiwa tayar 2wasiliane
 
hii ni organized crime-na polisi wapo wanashidwa kudeal nao-maana kama mtu anaiba then unaweza kumpata na kuzungumza naye na ukampa 'ransom'-sioni umuhimu wa polisi hapa

Hao wezi siku wakilogwa wakaingia anga zangu, watajuta kuzaliwa. Si watu wa kuchekea hata kidogo hawa!!!! Hawajali ni kwa kiasi gani watakurudisha nyuma kwa kuchukua vitenda kazi vya mtu. Pumbavu hawa!!!!

Tiba
 
...Worse enough ni external HDD niliyokuwa naitumia kama the only back up,ambayo nilitembea nayo ili nikahifadhi data zangu nyingine toka kwa office ina back up of almost four years works done.Im almost broke!!!.
Ulifanya jambo la kiufundi na la busara sana kuwa na "back up of almost four years," vinginevyo ungekuwa umepoteza data zako za miaka minne. Wameiba back up unazotembea nazo wamekuachia data mahala pengine salama. Basi harakisha ukatengeneza back up nyingine ya data zako, maana kwa sasa huna back up tena, umeibiwa "the only back up" uliyokuwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…