Kwenye mkataba alisema akitaka kuvunja atanipa mshahara wa mwezi mmoja..Kuuvunja huo mkataba wa mwanzo ni sawa na kukuachisha kazi alafu mnaingia mkataba mpya. Sasa angalia katika huo mkataba wako wa kudumu ulisema nini kuhusu kukuachisha kazi? Ukiyapata hayo ndio anatakiwa akufanyie kisha muingie mkataba mpya.
Ndio haki yako then hiyo mkuuKwenye mkataba alisema akitaka kuvunja atanipa mshahara wa mwezi mmoja..
Sent using Jamii Forums mobile app