kuvurugwa ni nini?

kuvurugwa ni nini?

Joined
Jun 30, 2017
Posts
69
Reaction score
21
kuvurugwa ni pale mnapokuwa wengi kwenye usafiri mnapata ajali alafu unakufa peke yako wakuu inakera sana unaweza hata ukajinyonga aisee..🙁🙁🙁






😉😉😉😉NDO NIMETOKA KUOMBEWA🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom