Kuvuta n'ge ili kufikia ulevi ni tatizo linalokua kwa kasi Asia

Tabia za waraibu zinafanana, kumkamata ng'e sio tishio kama unavyodhani, mi mwenyewe naweza kumkata vizuri tu ndo ijekuwa mvutaji!

Hapa umeshawapa mbinu wauzaji na watumiaji
Wakiamua kujaribu ni juu yao, lakini tahadhari ni kwamba hiyo ni sumu na ina maumivu makali mwanzoni mwa matumizi yake, yaani zaidi ya masaa 6 ni maumivu tu.
 
Kuna watu hawasikii la swala wala mnadi swala kaka yangu...
Tuwaombee watoto wetu wadogo ambao hawajui kitu wasiingie huko wakue vyema...sio mtu na akili yake anavutiwa na kufanya huo ujinga...
Sahihi kabisa Madam, wapo wanaopenda kujaribu mambo lakini wakijaribu hili hawatabaki salama
 
Wakiamua kujaribu ni juu yao, lakini tahadhari ni kwamba hiyo ni sumu na ina maumivu makali mwanzoni mwa matumizi yake, yaani zaidi ya masaa 6 ni maumivu tu.
Kama wameweza kuvaa pedi iliyolowa pombe hiyo hawashindwi, kwanza ni nyepesi sana sema naona ina hatari ya kusababisha vifo kwa haraka sana
 
Dunia ina mambo....
 
Vuteni mfe mtuachie spaaaceeeee...
Sema spaceeeee
Kabla haujaachiwa space na huyo ndugu yako, jamaa yako, rafiki yako au jirani yako, utapoteza kati ya mali yako (mchango), muda wako ndiyo kisha afe akuachie space
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…