Kuwa first year siyo sababu ya kujitoa akili wadogo zangu

shamajengo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,217
Reaction score
1,432
Mtu anaifanyia lamination atm card afu anasumbua atm card yake haifanyi kazi mi nimemwambia aende makao makuu benki mimi sipendagi ujinga
 
Hahahah! [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nianze kupit pale udsm lazima ninase kichenchede kimoja nikisaidie mjini hapa.

Huwa ni njia yangu ya windo shopping..
 
Hahahah! [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nianze kupit pale udsm lazima ninase kichenchede kimoja nikisaidie mjini hapa.

Huwa ni njia yangu ya windo shopping..
shetani anakuona kumbuka
 
Huyo atakua mngoni mwenzangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…