Antony Abel
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 264
- 142
Hahahhahaaaaaa swali zuri sanaWe umetaja kabila lako hapa?
Me msukuma ww je?We umetaja kabila lako hapa?
Jianike sana hadi rinda lako tulione ndiyo utakuja kujutaNaitwa ANTONY ABEL mimi ni MTANZANIA mwenye amani,
Nakushangaa ww unae ishi kwenye nchi ya amani na hauna amani.
Hata kutaja KABILA lako unaogopa! poolee.
Huyo wakuonewa huruma maana nahisi anahatarisha rinda box lakeIpo siku utajuta kujianika karibu jf sio fb hapa au insta
Kwakweli ni kumuonea huruma tuHuyo wakuonewa huruma maana nahisi anahatarisha rinda box lake
[emoji3] [emoji3]Huyo wakuonewa huruma maana nahisi anahatarisha rinda box lake
Ahsante sana bwana mshipaBwana Anthony Abel karibu Jf
Mmh! nitakua cjipend mkubwa.weka picha yako
Dah kweli dada yangu, c unajua kuwa nisilo lijua ni sawa na ucku wa giza.Ipo siku utajuta kujianika karibu jf sio fb hapa au insta
hujipendi kivipi wakati upo huruMmh! nitakua cjipend mkubwa.
Hapana brother serikali pekee ndio ipo huruhujipendi kivipi wakati upo huru