Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Nakumbuka mwaka jana katikati nilipata kufahamiana na single mother mmoja toka kwenye mtandao maarufu wa kijamii.
Mwanzoni sikujua kama ni single mother mpaka tulivyoanza kuzoeana ndipo alinambia kwamba ana mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka mitatu alizaa na jamaa mmoja ambae kwasasa wameachana.Ingawa sikuwa na mpango wa kumtongoza haraka kihivyo ila yeye mwenyewe alianza kujitongozesha.
Akaanza zile mara tunaonana lini mara ooh sijui unakuja lini vitu kama hivyo nikamwambia tutaonana tu wala usijari mana kiukweli tulikua tuko mikoa tofauti.Balaa lilianza ilipofika December mwezi wa Xmas akaanza kunambia mara mtoto anataka nguo mara sijui vile yani akawa anakomaa kweli kwamba nimnunulie mwanae nguo za sikukuu mara ooh kodi ya nyumba inaisha naomba unisaidie kulipa......sasa nikawaza huyu sijaonana nae live kashaanza kunipa majukum ya baba wa mtoto je nikishakutana nae faragha sio ndio nitakua napigwa invoice kila uchao
Nikaona isiwe kesi wacha nimpotezee mana sipendi mwanamke ambae mwanzoni tu anaanza kulia shida kabla hata sijamgegeda
Sijui kwa wengine ila binafsi siamini kama kweli single mothers wanakuaga na mapenzi ya dhati, huwa naamini kujibebisha kwao ni maigizo tu ili mambo yake yaende sababu anachohitaji yeye ni pesa tu kwaajiri ya kutatua matatizo yake mana wanakuaga na shida kupita maelezo.
Je kuna mtu mwingine yeyote humu ambae kashawahi kuwa kwenye mahusiano na single mother na kama uliwahi je ni nini kilikufanya uachane na single mother ?
Karibuni tuweze share experience