SISIS
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 10,892
- 3,112
Kuwa na michepuko mingi na uweze kuimanage isijuane ni kipaji aisee.
Vile vile nilichoexperience wanawake ukiwaendekeza wanafilisi, usipokuwa makini hutofanya maendeleo, mimi huwa napiga na kusepa siweki kambi, ila jifanye kuweka kambi kwa wanawake 4 uone mbungi lake.[emoji23][emoji23][emoji355]️