Huwa unapiga peku ama?mimi huwa napiga na kusepa siweki kambi
Mimi hua siwezi kupiga na kusepa, lazima niweke kambi. Cha maana ni kujua jinsi ya ku deal nao bila kutoa hata senti tano.Kuwa na michepuko mingi na uweze kuimanage isijuane ni kipaji aisee vile vile nilichoexperience wanawake ukiwaendekeza wanafilisi usipokuwa makini hutofanya maendeleo, mimi huwa napiga na kusepa siweki kambi ila jifanye kuweka kambi kwa wanawake 4 uone mbungi lake[emoji23][emoji23][emoji355]️
Bado una safari ndefuBila hata kutoa senti
Tano labda uwachonge mwenyewe
HahahaKuwa na michepuko mingi na uweze kuimanage isijuane ni kipaji aisee.
Vile vile nilichoexperience wanawake ukiwaendekeza wanafilisi, usipokuwa makini hutofanya maendeleo, mimi huwa napiga na kusepa siweki kambi, ila jifanye kuweka kambi kwa wanawake 4 uone mbungi lake.[emoji23][emoji23][emoji355]️