Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
Sijakuelewa mkuu.Sasa masikio si yataziba kwa tope la uchafu.....
Nina maanisha kuwa kama nako kutumia bomba ni risk wakati ndio njia ya kitaalamu....si watu wataacha kusafisha masikio....na matokeo yake si masikio yataziba kwa tope la uchafu......maana mtu kwa uoga anaweza akaacha moja kwa moja kutoa uchafu kwa kuhofia kusababishiwa uziwi wa ukubwani.....Sijakuelewa mkuu.
Mkuu KikulachoChako kupigwa bomba sio njia inayotumiwa kuondoa uchafu kwa vijiti vya pamba kama tulivyozea, bali ni kutoa uchafu kwa kusafishwa na daktari kwa kuingizwa tube maalum sikioni ambayo inatumika kuingizwa maji ya moto na kusukumwa ndani na kupitishia uchafu huo baada ya maji kuingizwa sikioni. Huduma hiyo inatolewa mahospitalini. Mzizi mkavu anaweza kutoa ufafanuzi zaidi.Nina maanisha kuwa kama nako kutumia bomba ni risk wakati ndio njia ya kitaalamu....si watu wataacha kusafisha masikio....na matokeo yake si masikio yataziba kwa tope la uchafu......maana mtu kwa uoga anaweza akaacha moja kwa moja kutoa uchafu kwa kuhofia kusababishiwa uziwi wa ukubwani.....
Sasa mkuu kama nayo ni risk watu wataogopa kupata hiyo huduma...Mkuu KikulachoChako kupigwa bomba sio njia inayotumiwa kuondoa uchafu kwa vijiti vya pamba kama tulivyozea, bali ni kutoa uchafu kwa kusafishwa na daktari kwa kuingizwa tube maalum sikioni ambayo inatumika kuingizwa maji ya moto na kusukumwa ndani na kupitishia uchafu huo baada ya maji kuingizwa sikioni. Huduma hiyo inatolewa mahospitalini. Mzizi mkavu anaweza kutoa ufafanuzi zaidi.
Sijui labda jamaa alikutana na daktari asiye na uzoefu. Labda waliowahi kupigwa bomba wanaweza kuweka mambo sawa ili kuwaondolea wengine wasiwasi.Sasa mkuu kama nayo ni risk watu wataogopa kupata hiyo huduma...
Hivi ni kila unapopiga bomba ni lazima madhara yatokee au inakuaje? Halafu kwani hadi sasa hospital zimeshindwa kubuni njia nyingine ya kusafisha sikio? Maana nasikia wanapitisha maji ya moto na kuya-pressure kuelekea ndani ya sikio na nasikia mgonjwa atasikia maumivu makali sana.Usafi mzuri wa sikio ni kuchokoa sikio kwa kutumia kidole cha kidogo (little finger) hadi pale kinapoishia. Usitumie pamba wala vijiti kama wengine wanavyotumia njiti za kiberiti.Pamba na njiti ni hatari kwa usalama wa sikio lako. Ule utando (ear wax) unaouona sikioni ni muhimu sana ukiutoa wote unahatarisha sikio lako. Kazi ya ear wax ni kuzuia foreign bodies kuingia kupitia sikio. Foreign bodies zinazoweza kuingia kupitia sikio ni kama wadudu, mfano sisimizi, vumbi na maji. Usafishaji wa sikio na kuondoa ear wax ambao wengi wanadhani ni uchafu ni hatari sana kwa afya yako. Kupigwa bomba kama kulivyoelezwa kunatakufanyike tu pale ambapo imelazimika kufanyika hivyo. Yaani kufanyike kwa ajili ya kuondoa foreign bodies zilingia sikioni. Isifanyike kama desturi kwamba baada ya miezi kadhaa unaenda hospitali kusafishwa sikio kwa kupigwa bomba.