Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Jaribu kupiga mahesabu:-
- Unatakiwa uuze viberiti vingapi ili upate milioni moja kama faida?
- Unatakiwa uuze pipi tofi n.k ngapi ili upate milioni moja kama faida?
- Unatakiwa uuze pakti ngapi za chumvi ili upate milioni moja kama faida?
- Unatakiwa uuzemiche mingapi ya sabuni ili upate milioni moja kama faida?
- Unatakiwa uuze mifuko mingapi ya simenti ili upate milioni moja kama faida?
- Unatakiwa uuze tani ngapi za nondo ili uweze kupata milioni moja kama faida? n.k
Kumbuka pia, kuna gharama za uendeshaji jumlisha kodi n.k
Tuwaheshimu waliopo kwenye ujasiriamali.
Tuwaheshimu waliopo kwenye ujasiriamali.