Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Na hii inaweza kuwa sababu kuu kwa waajiriwa kutokupenda ujasiriamali, kutokana na maono ya muda mfupi.Amen
Ni kweli sasa tujiulize, inakuwaje hao wazalishaji wanakuja kuwa matajiri kuliko hawa wanaopokea mishahara na posho?Maisha hayako Fair kabisa. Mjasiriamali mpaka ahangaike hivyo. Ila mdangaji akiwa na tako lake kubwa anao uwezo wa kuingiza 1m+ toka kwa sponsa mmoja tu🤣
Kweli maisha hayako fair,Utajiri unapatijana Kwa taabu sana,Maisha hayako Fair kabisa. Mjasiriamali mpaka ahangaike hivyo. Ila mdangaji akiwa na tako lake kubwa anao uwezo wa kuingiza 1m+ toka kwa sponsa mmoja tu🤣
Wamesaidia sana katika kuboresha ubora wa maisha; watu hawatembei peku, wanatumia vyombo vizuri kulia vyakula, afya zinaimarika n.kMbali nakuwapa respect, wajasiriamali wote chukueni maua yenu kwa kuleta solution ya matitozo mbalimbali hakika mungu awabariki
Ni kweli, kipaji pia ni muhimuHicho kitu ni wito na ni kipaji
Mwisho wa siku tunakuja kuona matokea, fulani ni tajiri namba moja n.k, kumbe amepitia njia nyingi zenye mabonde.Kweli maisha hayako fair,Utajiri unapatijana Kwa taabu sana,