Kuwa mrembo na mwenye mvuto kwa njia nzuri na salama

Kuwa mrembo na mwenye mvuto kwa njia nzuri na salama

ELAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
410
Reaction score
150
Epuka sana njia na vipodozi visivyo salama na vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) maana vitakuletea matatizo mbali mbali ya afya kama vile kansa, allergy, ngozi kuvimba na kuharibika, ngozi ya juu kuondoka n.k.

Changamoto kubwa niliyoigundua baada ya kufanya utafiti ni kwamba watu huanza kutumia vipodozi bila ushauri wa kitaalam, au hushauriwa vipodozi visivyo sahihi kwa matatizo na mahitaji yao. Nawashauri msitumie vipodozi au kuanza kujipodoa bila ushauri mzuri.

Nina ujuzi na uzoefu juu ya vipodozi, urembo, mvuto na kuondoa matatizo mbali mbali ya mwili na ngozi kama vile Chunusi, Mba, Fangasi, Makovu, Vipele, Harufu mbaya mdomoni na mwilini na kadhalika. Karibu ushauriwe na kupata vipodozi vinavyokufaa.

Lotion, perfume, deodorant, mouthwash, cream, sabuni na kadhalika. Bidhaa nyingi madukani bado si salama, na wanauza hata zile zilizopigwa marufuku.

Karibu sana Kwa Mshauri wa masuala ya urembo na mvuto. Nipo Dar es salaam, ila naweza kukuhudumia ukiwa popote Tanzania.

Mawasiliano : 0659528724 ; 0784082847
 
Back
Top Bottom