"Hao sio level yetu, Simba ni timu kubwa Afrika. Level za Simba ni Al ahly, Mamelodi sundown, waydad na ma giant wengine, sio Yanga.
Ni lazima tuwapelekee Msiba mkubwa na tunakwenda kujihakikishia ubingwa wetu msimu huu jumapili ijayo....
Raha ya msiba waliaji wawe wengi, tunawaomba mashabiki wao waje uwanjani na wakae hadi mwishoni sio tukishawafunga wawahi kuondoka, wasubiri hadi mchezo uishe.”