Kuwa mtiifu kwa jamhuri ya muungano wa tz, ni kutii maoni ya wananchi wa jmt

Kuwa mtiifu kwa jamhuri ya muungano wa tz, ni kutii maoni ya wananchi wa jmt

mumburya

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
321
Reaction score
448
Kiapo cha wajumbe wa Bunge maalumu lina vipengele viwili muhimu vya kujadili (kwa great thinker tu).

1. Mimi _____ niliyeteuliwa kuwa mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba,
2. naapa, nathibitisha kuwa nitakuwa mtiifu kwa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,


hapo kwenye nomba moja. Sheria ya mabadiliko ya katiba kifungu cha 22 kinataja aina tatu za wajumbe.
1. wabunge wote wa bunge la JMT 2. Wajumbe wote wa BLW 3. Wajumbe wateuliwa wa Rais.

Sasa swali, je Mjumbe ambaye hakuteuliwa na Rais bali anaingia kwa sababu sheria imemlazimu kuingia kutokana na kuwa yeye ni mbunge/ mwakilishi, ambaye ubunge/ uwakilishi wake umetokana na wananchi waliomchagua na sio kwa kutaka Rais, atawezaje kuapa na kusema NILIYETEULIWA, na wale walioteuliwa (kundi la 201) hao sasa wasemeje?

swali la pili, kuwa mtiifu kwa JMT si ni kuwatii wananchi waJMT ambao asilimia kubwa ya waliohojiwa na TUME ya kada wa CCM, Joseph Warioba walitaka serikali ___. (malizia mwenyewe).


KAMA HUNA HOJA USIJAZE SERVER, HAPA NI GREAT THINKER TU.
 
Hicho kiapo kimekaa kimtego!
Sijui Mtikila aliapaje?
Sijui Jussa naye aliapaje?

Maana wote kuna sehemu wanatakiwa waseme "Nitakuwa mtiifu kwa jamhuri ya muungano wa Tanzania"
 
Back
Top Bottom