Kuwa mseja si laana labda kuwa msela!
Swali la msingi, mahitaji ya ngono utayatimizaje? Kuna mtu alikuja na Uzi kama huu, nikauliza kuoa maana yake nini, akaniignore!
Kama waweza ishi bila ngono, then useja unakufaa na good thing ni kuwa utasaidia kumaintain population kikubwa tu.
Lakini kama utaendelea kungonoka, then ni bora kuwa na mtu wako hata kama msipofanya harusi; la utaleta matatizo makubwa, kwani utakuwa ni wa kuruka huku na huku na kuleta vitoto vya mitaani!
So ukiacha jamii inaexpect nini, ili uwe responsible citizen wa hii dunia; machaguo ninayoyaona mimi ni kuoa au kutongonoka kabisa!
Companero...
KUna kitu wanaita call of nature... kama vile haja ndogo au kubwa, basi ndoa, familia na majaaliwa ya watoto huenda na wito wa asili!! na pale nature inapoonekana kuchelewa, basi wale walinzi wa nyakati huanza kuwa anxious
It is always good to observe nyakati na hasa wakati huu wa :censored:
Jamani hivi kuoa na kuzaa ni wajibu?
Lakini inasemekana sio vizuri mwanaume awe peke yake ndio maana kuna mwanamke
Ubaya uko wapi kama akiwa peke yake?
Lol companero... acha uoga mkuu"utakuja kujuta baadaye" - mlinzi wa nyakati
kuoa = kungonoka?
According to me yes!
Ndio maana watu huita tendo la ndoa!
Hata catholic church yaweza nullify ndoa kama ikiwaproven beyond reasonable doubt kuwa hamjangonoka!
According to me yes!
Ndio maana watu huita tendo la ndoa!
Hata catholic church yaweza nullify ndoa kama ikiwaproven beyond reasonable doubt kuwa hamjangonoka!
Hivyo kama kufanya tendo la ndoa ni lazima/wajibu/muhimu basi kufunga ndoa nako ni lazima/wajibu/muhimu?
Lol companero... acha uoga mkuu
majuto ni part of life, if its not there then what is the value of life and knots?... I have been married for over 8 years now, and everyone around me though i would nevr get married.,.. reason??? avoidance and ego/kiburi towards women, and guess what; NEVER REGRETTED, I AM MORE GRATEFUL COZ SHE IS TAKING TOO MUCH BULSHIT OF ME-SELF
think about it, denials and aversive behaviours kill the power of dreaming and innovation
'ndoa ndoana'?
Kwenye kanisa Katoliki kuna mambo ya proof "beyond (a) reasonable doubt"?
Mi nilidhani hicho ni kiwango tu cha uthibitishaji kinachohitajika katika kesi za jinai ili kumpata mtu na hatia ya kosa atuhumiwalo kulitenda....au?