Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Wewe umemjibuje mtu usiyemjua?Hii nchi imejaa watu wapweke sana..hivi inawezekaza vipi unauliza vitunguu swaum kama hivi kwa watu usiowajua?
Kaa mkao wa kula /kuliwa
Inawezekana vipi ?
Thibitisha kwa sisi ma thomaso