Kuwa muwazi, unafanya nini sasa hivi?

Naangalia live band terminal pub waluguru original.

Sent using OPPO Mobile Phone
 
Nipo na kikombe cha kahawa napitia pitia mambo mtandaonii
 
Nauhakika kila sasaivi ya mtu alieandika hapa inafanana yaani ku-click kitufe cha send
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…