Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Hapo ulipo inawezekana unapitia magumu, kama hauumwi, Kama si kilema usikubali kuwa mvivu, wewe ni graduate, umefukuzwa kazi, hujapata ajira, wewe ni form four, formsix, kila ukijiunga chuo unafeli, kila ukisoma huelewi.
Hii isiwe sababu yakukaa bila kufanya lolote.
Kesho jumatatu. Fagia uwanja, vaa vizuri pendeza kapige story na watu wa jamii yoyote, boda boda, daladala, nenda mijini, kapige story na wauza maduka, nenda migodini, nenda hata hospitali, nenda hata kanisani. Jiunge na jamii yoyote. Yaani toa uvivu asubuhi ya kesho.
SIJASEMA UWAZE. NIMESEMA TOKA HAPO. Nenda popote.
MTEMBEA BURE SI SAWA NA MKAA BURE.
Nimeandika hili kwa wale wote ambao hawaelewi cha kufanya hadi muda huu na naamini wapo humu. Nikuunga bundle wapo mitandaoni. Fursa huja mara moja. Tusiwe wavivu, tunawavunjia heshima wanaotuamini.
Muwe na wiki njema kuanzia jumatatu ili tupumzike weekend.
Chance Ndoto❤️