Kuwa mwaminifu kwa Mungu wako na mumeo/ mkeo pia

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kwa kufanya hivyo tutaweza japo kwa kiasi kidogo kupafanya duniani kuwa ni mahali pazuri pa kuishi.
 
aaah wapi.....hakuna kitu.....
 
Kwa kufanya hivyo tutaweza japo kwa kiasi kidogo kupafanya duniani kuwa ni mahali pazuri pa kuishi.

Waweza kuwa muaminifu kwa mwenzi wako na mungu wako, tatizo akawa mwezi wako, usiusemee moyo
 
Yaani hiyo ni mbingu ma d ni wewe n mimi kutii amri za mungu na kusihi kama mungu anavyotaka tuishi na si wadamu wanavyotaka tuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…