Kuwa mwanasheria ndani ya mwezi mmoja tu

Kama wewe umesoma sheria, basi mimi najionea fahari mno kuishia darasa la nne.

Kumbe ningesoma ndio ningekuwa hivi?

Unaandika kama kasuku, umeanza sentensi yako kwa herufi ndogo,mwanzo hadi mwisho hakuna alama ya mkato wala nukta. Unataka wasomaji wako wafe kwa kukosa pumzi?
 
njo kwenye hoja acha kulalamika ni tabia ya kukosa hoja na mashiko ktk hoja yan unatumia gharama ya kubadilisha mada ili ukwepe ukweli kwa kulalamika bila mashiko nukta, mkato na herufi sio hoja yetu anzisha uzi mwingine tutakufundisha kwa nn lugha ya uandishi wa kimtandao hususa mitandao ya kijamii huwa tafauti na lugha fasaha na watu wanaelewana kama kawaida.
 
Mkuu,wewe waliokupa hiyo shahada ya sheria wanatakiwa kuwa gerezani ndio tuendelee kujadili hii mada.
 
Huu uzi umenifurahisha kwani wakati nausoma navuta picha ya ubishi alionao mwanasheria wangu! Halafu sometimes anakosa fedha kisa kujidai amebobea, baadae anaishia turushwa na kuwazungusha wateja wake!

Kwanza ni toe big up kwa mwezeshaji lengo lako ni zuri sana ingawa sema limebakwa na legal aid act ya sasa, katika hio course outline yako uliyoanda ungefungua taasisi halafu ukawa unaomba funds unazunguka vijijini na mitaani au kuanda warsha za kisheria ungepiga fedha nyingi mno kuliko hio 50k au 100k ambayo wadau wanakukosa kutokana na kuhisi watakosa 2000 za mihuri nk.

Nimalizie kwa kusema kuwa mdau mtoa mada ni moja ya watu wenye akili mno ya kusaidia watu, sasa cha kufanya jaribu kuangalia namna ya usajili wa Legal Aid provider, kisha improve namna utakavyoifikia jamii, andaa bajet yako iliyoshiba contact na LSF kisha tengeneza hata apps, omba vipindi kwenye tv radio nk, unda warsha watembelee paralegeal utamake mno soon utakuwa lisu.

Kwaherini
Mhitimu wa std 7 e.
 
Mkuu,wewe waliokupa hiyo shahada ya sheria wanatakiwa kuwa gerezani ndio tuendelee kujadili hii mada.
mkuu inaonekana kulalamika kwako ni jadi ngoja tusubiri watu wenye mawazo mapya na hoja kuhusu mada hii ya kuwa mwanasheria ndani ya mwezi
 
Nahisi hiko kipengele cha tano ndio kimemsukuma huyu bwana mleta mada kuandika huu uzi.hakika njaa ni mbaya sana.ni kheri atafute plan nyengine za kujikomboa kimaisha na sio uongo kama huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…