Kuna shida si bure.🤣Kuwa mwanaume si jambo jepesi kwa hii dunia, imagine unatakiwa kumpa mtu hela na hakudai wala nini!!!
📌Kuwa mwanaume si jambo jepesi kwa hii dunia, imagine unatakiwa kumpa mtu hela na hakudai wala nini!!!
Hawa ndo vijana et tunategemea waipiganie bandarKama kama kuwa mwanaume kunakuchosha
Nenda ile jinsia wanaume tukuwajibikie tu
Nondo [emoji123][emoji110]Mkuu nikupe siri, hakikisha kama mwanaume unauwezo wa kujihudumia kila kitu sio kipesa tu ila kimaisha zaidi.
Mfano, hakikisha unaweza kujipikia, kujifulia, kuwa na furaha na kuwajijali kiusafi na kimavazi.
Wanawake wengi wana control na kutusumbua akili sababu wanajua hatuwezi jitegemea kwenye hivyo vitu.
Ukijimudu hivyo vitu, hakuna mwanamke anaweza kuwa na jeuri mbele yako.
Hakikisha mwanamke akijikadiria aone kabisa hata akiondoka unaweza kujihudumia na mwanamke mwingine akakupenda.
Ni simple sana, jijali.
We badala ujione fahari kuwa mwanaume unajilaumu kuwa mwanaumeHaitokaa itokee!
Aahaaaaaa,maamaae,dahKuwa mwanaume si jambo jepesi kwa hii dunia, imagine unatakiwa kumpa mtu hela na hakudai wala nini!!!