Kuwa mweupe hakukufanyi uwe mzuri

Wewe ni KE??
 
Mwanaume mweupe ajitahid kumiliki hela.bila hvyo aise ni shida ...ni kama demu aliye period na ashindwe kujisitiri.(Kichefuchefu/
Sio kweli , mwanaume yeyote anapaswa kumiliki pesa , hawa vijana wa sasa walio aminishwa kuwa mweupe ndio unapaswa kujibembeleza ndio tatizo ๐Ÿšฎ
 
Kama mwanaume tayari wameshamvunja huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ