Kuwa mweupe hakukufanyi uwe mzuri

We jamaa unapenda sana hizi mambo, pole sana ila mimi ni mwanaume
Sijakataa kuwa wewe ni mwanaume kama unavyodai , ila kwa mada zako unaonekana ni dudu kombwa mavi bwashee
 
Mwanamke mweupe mjini ana uhakika wa maisha kuliko mwanamke MSOMI maadamu tu azuge zuge tu ana maadili fasta anatoboa asiwe tu na akili kama za miss tanzania mstaafu
 
Kucha zako zikoje madam
 
Mwanamke mweupe mjini ana uhakika wa maisha kuliko mwanamke MSOMI maadamu tu azuge zuge tu ana maadili fasta anatoboa asiwe tu na akili kama za miss tanzania mstaafu
Wapi huko waliopo hapa mtaani wamechoka balaa na wengine single mother kila mtoto na baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ