Kuwa mweupe hakukufanyi uwe mzuri

Wengine wanatumia mikorogo jasho zao zinatoa harufu Kali mnakuja humu Tena kuwasema ila wanaume mmmmmh
Wee usisemwe kisa nini....binadamu kusemwa utasemwa tuu kama hutaki kusema kajinyonge🤣🤣🤣🤣
Mbona nyie wmwatusema oh kibamia, mwanaume huna hela. Mara tunataka TDH lakini siie tupo tuu na mbususu mnatupa
 
Nyie ndio mnasababisha wanaume weupe wengi waonekane wadudu komba mavi gademiiit 🚮
Bwashee asikuumize kichwa marangi rangi hasa Hawa wa Tanzania wengi wanaji kirimu wengi weusi ,,,

Ndiyo maana huko mitandaoni ukiwaona wameungua uso mixer miguu na mikono kusaka rangi adimu
 
Ulivotaja vyote nonsense wanaume tunapenda mzigo Tako na kifua , iyo midomo na weupe wapee wasukuma😅😅
 
Kabisaaa hujakosea, sijawahi kukutana na mwanaume ambaye soda haina gesi km wewe..!!
hayo mambo ya gas ni tuhuma tu za udaku humu ndani hasa wanaume wasio na muonekano wala mvuto. Nitaku surprise one day uje uhadithie humu
 
Nikajua kuwa mweupe means "kutokuwa na Akili kichwan" 🙏
 
Hivi kwanini ukiambiwa wewe ni shoga hutaki kukubali wakati mada zako tu ni xa kimatako matako
 
HUYU JAMAA INA MAANA BADO HAJAPATA BWANA?

Manake anajitangaza sana biashara yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…