KUWA MZALENDO TANZANIA NI ZAIDI YA ADUI WA 4 WATAIFA

Abdul Mkwayu

Member
Joined
Jul 7, 2018
Posts
53
Reaction score
73
Swala la Uzalendo Tanzania ni zaidi kujitoa muhanga yaani Kila sekta inakatisha tamaa.

Mara huku Rushwa, Miundombinu mibovu kibaya zaidi siku hizi Kumeibuka maradhi Mapya TAIFA STARS.

TAIFA STARS inarudisha nyuma sana jitihana za Uzalendo Tanzania kiasi kwamba Watanzania tunajiona Kama tumelaaniwa hivi.

Sawa kuna sababu za kimpira lakini kwa mbinu hizi za mechi za ugenini za Kocha Amunike anaweka Rehani uzalendo wetu kama Watanzania.
 
Wachezaji wenyewe hawabebeki!
Hata mkiwachamba wachezaji wa stars wakitoka jisaidia watakuwa wanafungwa tu
Pmbf zao

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…