Kuwa na hofu na mapigo ya moyo kwenda kasi

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,709
Reaction score
1,963
Ushauri wakuu ni kwa namna gani naweza epukana na kadhia hii
 
Ni hali hata mimi huwa nakutana nayo but namna ya kukabiliana nayo ni ku-relax,kusubiri au kutafakari mapema namna ya kukabiliana na kile kinachokuja.

Ni hali ya usumbufu sana isiyopaswa kuzoeleka ila hukaa muda kidogo na kuondoka but binafsi naona kama huifanya akili kufanya kazi kwa kasi inayotakiwa.
 
Je unapo lal huwa unaota ndoto gani?ulisha pima Hospitali damu Full blood picture?
Hpn hakuna ndoto yoyote ninayoota

Khs full blood picture, labda nikijua gharama zake kwanza mkuu
 
Hpn hakuna ndoto yoyote ninayoota

Khs full blood picture, labda nikijua gharama zake kwanza mkuu
Sijuwi gharama zake wewe nenda hospitali ya Hindul Mandal aka hospitali ya wahindi iko maeneo ya upanga kama upo mjini Dar. La kaa upo mji mwengine nenda Hospitali kubwa yoyote ya karibu unapo ishi kaulize watakwambia gharama yake .Usiende Hospitali za kliniki.
 
Sawa mkuu nikishafanya hivyo nitarudi hapa
 
Kapime moyo(Presha ya damu, mapigo ya moyo na hata moyo wenyewe waweza kuwa umepanuka n.k)
 
Jaribu kuingia YouTube search sensorimotor OCD kama kiingereza unaelewa fresh uview some videos pengine ukaelewa kitu ,au hyperawareness of heartbeats
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…