Kuwa na macho mekundu na tiba yake

Lis

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
471
Reaction score
347
Habarini za leo wakuu, kuna mtoto wa dada yangu ameumia akiwa anacheza na wenzake, hajaumia ndani ya jicho lakini damu zimevilia kwa ndani, anaona vizuri lakina tatizo ni macho yote mekundu kama damu amepewa dawa hospitalini ni mwezi sasa, hakuna mabadiliko.yeyote anayejua dawa asilia anisaidie niweze kumsaidia.

 
yes,jaribu dawa moja inaitwa visine au optrex....tumia hzo eye drops kama ilvoandikwa kwny box....for best results tumia hyo dawa kwa zaidi ya miezi mitatu
 
mkuu tyta asante kwa kuweka hiyo picha ndio yako kama huyu bwana
 
kuna mtu kaniambia niweke maziwa fresh cjui ni kweli?
 

TIBA(1) Weka macho yawe safi na uyakoshe kwa
maji ya waridi kila wakati. Epusha macho kutokana na joto, baridi, moshi, vumbi, macho yasitumie nguvu sana kama vile kusoma sana. Tumia dawa za kulainisha choo ikiwa hupati choo vizuri kwa sababu pia huchangia katika maumivu ya kichwa na macho.awe pia anakula karoti.

AU TUMIA DAWA HII HAPA CHINI ITAKUSAIDIA :

Tiba (2) Matatizo ya macho Asali ni bingwa kwa ajili ya macho, Pakaa asali katika macho huzidisha nuru ya macho, pia husaidia katika matibabu ya trachoma, conjuctivits na maradhi mengine ya macho, kila siku pakaa asali katika nje ya jicho na ndani ya jicho (kwa ndani ya jicho unaweza kutumia unyoya au wa kuku au ndege yoyote yule) kufanya hivo asali hupigana na kujilinda na maradhi ya glaucoma.

Tiba (3) Asali pia husaidia kwa matatizo ya cataract
, chukua 2 grams ya maji ya vitunguumaji na asali uchange pamoja upake hii kwa wale wenywe immature cataract. (Upate Asali ya nyuki mbichi tena iwe Safi ) isiyochanganywa na sukari. Chaguwa moja kati ya hizo Tiba hapo juu tumia kwa muda wa siku 3 isipomfaa ndio unatumia Tiba ingine.
 
Q: How do you get the blood out of your eye
from a punch in the eye????
ANSWER...........
Blood on the front white part of the eye, it is
called a subconjunctival hemhorrage and it's
like getting a bruise on the eye. The only way
to get rid of this blood is to allow the body to
reabsorb it. It can take 4-6 weeks for it to
occur, and there's really nothing to speed up
healing.
If it's blood INSIDE the eye, you need to seek
immediate medical attention, but most of the
time you cannot see bleeding inside the eye
without the proper instruments.
 
Wadau na mm nina tatizo la macho kuwasha, ni km wiki 1 nikiamka tu asubuhi jicho la kushoto linawahs kupita kiasi, halafu nakua nahisi km lina vipele vidogo kwa ndani, na nikiacha kulikuna linatoa sana machozi, tatizo ni nn na naweza tumia suluisho gani? MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:

TIBA(1) Weka macho yawe safi na uyakoshe kwa maji ya waridi kila wakati. Epusha macho kutokana na joto, baridi, moshi, vumbi, macho yasitumie nguvu sana kama vile kusoma sana. Tumia dawa za kulainisha choo ikiwa hupati choo vizuri kwa sababu pia huchangia katika maumivu ya kichwa na macho.awe pia anakula karoti.
 

Nashukuru mkuu, hayo maji ya warid yanakuaje na nayapataje
 
jaman wataalamu msaada wa dawa ya kusafisha macho kuwa meupe
 
huo ni uchawi tu



sio mimi ni baadhi ya makabila huko mwanza
 
wanajamvi habari zenu....

moja kwa moja niende kwenye point, nikwamba nimekuja kwenu wajuzi nahitaji kujuzwa juu ya ili swala macho kua mekundu je hii ni kawaida au ugonjwa fulani??
kingine mnijuze nini kinasababisha, jinsi ya kuzuia yaani niepuke vitu gani ..NB situmii kilevi aina yoyote sivuti sigara au vitu vya jamii hio na nilipo cjawa exposed kwenye moshi...
nakaribisha michango yenu mwenzenu ni ondokane na ii issue nataka yawe meupe....



thanks&regards
 
Huu Uzi hakuna alie leta mrejesho?????? Au majibu haya kufanya kazi?wajuzi wa mambo mkuje huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…